ESTHER BULAYA NA CHANGAMOTO YA MICHEZO MKOA WA MARA
Mkoa wa Mara umeonekana kuwa nyuma katika suala zima la michezo miaka nenda rudi lakini sasa kuonaonekana kupata tiba baada ya mbunge kijana anayewakilisha wenzao katika bunge la Tanzania kuanzisha michezo mbalimbali katika wilaya za mkoa wa Mara ambapo ameanza na wilaya ya Bunda.
No comments:
Post a Comment