Tuesday, February 15, 2011

POLICE DAY ILIVYOKUWAW MUSOMA

 Mkuu wa mkoa wa Mara kanali mstaafu Enos Mfuru alicheza rumba na mkuu wa wilaya kapten mstaafu Geofrey Ngatuni mwnye suti nyeusi katika bwalo la Polisi mjini Musoma
 Mkuu wa mkoa wa Mara akitoa neno katika hafla hiyo kulia kwake ni kamanda wa Polisi mkoa wa Mara ACP Robert Boaz
 Wadau mbalimbali walikuwepo katika hafla hiyo kama wanavyoonekana
 Waandishi wa habari ni sehemu ya Jamii,mwandishi mwandamizi wa Star TV na RFA akiwa sanjari na mwandishi wa gazeti la Uhuru Ghati msambwa


 Kabla ya watu kwenda kula rumba na bata kulikuwa na mchezo wa soka ambapo mgeni rasmi alikuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Mara ACP robert Boaz

No comments:

Post a Comment