Thursday, February 17, 2011

MABOMU YA GONGO LA MBOTO BUNGE MPAKA KESHO

 Spika wa Bunge Mh Anna Makinda akitoa taarifa ya kuahirisha bunge leo mjini Dododma
 Waziri mkuu Mh Mizengo Pinda akitoa taarifa ya Serikali leo mjini dodoma kutokana na mlipuko wa mabomu ya Gongo la Mboto
 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limesitisha shughulizake mjini Dodoma baada ya spika wa Bunge la Mh Anna Makinda kutokana na mlipuko wa mabomu uliotokea huko Gongo la Mboto jijijni Dar Es Salaam.

Awali Waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda alitoa Taarifa ya Serikali kuhusiana na milipuko hiyo ambapo alisema kuwa takribani watu 40000 wamehifadhiwa kwenye uwanja wa mpira (Uhuru) jijini Dar Es  Salaam

No comments:

Post a Comment