Sunday, February 20, 2011

POLENI WATANZANIA WENZETU

Yaliyotokea Gongo la Mboto liwe ni somo kwa wahusika kambi za jeshi kuwa mbali na makazi ya Raia lakini pia kuhakikisha mabomu ambayo muda wake umefika yalipuliwe,poleni sana watanzania wenzetu najua hakuna aliyepanga kufanya hivyo tofauti na Mola maana ndiye mkuu.

  Blog ya Mwana wa Afrika inaungana na watanzania wote kuwaombea waliopoteza maisha na wale waliopata majeraha ili Mola awaponye warudi katika hali ya kawaida na tuungane kulijenga Taifa letu.
            Picha kwa hisani ya Blog ya Michuzi

No comments:

Post a Comment