Saturday, February 5, 2011

HONGERA CCM LAKINI.....................

Chama cha Mapinduzi leo kinatimiza miaka34 umri wa mtu mzima tangu kimeanzishwa,viongozi na wafuasi wa chama hicho watakuwa wakisherekea sehemu mbalimbali  hapa nchini,pamoja na hivyo lakini ni bora wakatathimini wametoka wapi,wapo wapi na wanenda wapo?

                     HONGERA CCM LAKINI....................

No comments:

Post a Comment