Friday, January 28, 2011

MADIBA ATOKA HOSPITAL

Mzee Nelson Mandela (MADIBA) ameruhusiwa kutoka hospitalini leo,jamani dunia haina watu kama hawa leo tumuombee mzee wetu awe katika afya njema

                          Nelson Mandela (MADIBA)

No comments:

Post a Comment