Monday, December 6, 2010

WAANDISHI WA HABARI NDIO MWANGA WA JAMIIIIIII YETU

   Ni mwandishi wa habari mkoani Mara(Victoria Fm) na pia mmiliki wa blog ya Mwana wa Afrika
  Mwandishi wa habari mkongwe  mkoani Mara(Star TV/ RFA) Anaitwa Maximilian Ngessi
Mwandishi wa habari mkongwe  mkoani Mara ( ITV/RADIO ONE) Anaitwa George Marato
  Anaitwa Emanuel Amas mwakilishi wa Televisheni ya Taifa (TBC) mkoani Mara
Mwandishi wa habari mkongwe  mkoani Mara(CHANNEL TEN) Anaitwa Maber Makubi kushoto akiwa na Dr Kayombo

No comments:

Post a Comment