Friday, December 3, 2010

VICTORIA FM KATIKA MAANDALIZI YA SURA MPYA MWAKA 2011Wafanyakazi wa kampuni ya utangazaji VICTORIA FM &CO LTD  Happy Mohammed na Lazaro Kaaji wakiwa katika uaandaaji wa habari katika mjengo wa redio hiyo lengo likiwa ni kuwapasha wananchi nini ninachojiri katika nchi yetu na nje ya Tanzania bila kusahau upande wa burudani.Kwasasa redio hiyo ipo katika maboresho hasa ukizingatia mwaka ujao ni mwaka mpya hivyo lazima mambo yawe mapya,juu ni nembo inayotumiwa na redio hiyo

No comments:

Post a Comment