Friday, December 3, 2010

SUALA LA TOHARA KWA WANAUME LAJADILIWA KWA MAPANA

 Kaimu mratibu wa Ukimwi mkoa wa Mara Dk Anna Ntangeki akifafanua jambo kwa waandishi wa habari juu ya zoezi la tohara litakaloanza hivi karibuni mkoani Mara katika wilaya ya Rorya kwa wanaume,katika mahojiano hayo Dk Ntangeki alisema kuwa utafiti uliofanywa Kenya,Uganda na Afrika kusini unaonyesha kuwa wanaume ambao hawajatahiri wanaasilimia 60 ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi.
                 Mganga mkuu wa wilaya ya Rorya akitoa maelezo
Mkuu wa wilaya ya Rorya kanali mstaafu Benedict akielezea juu ya zoezi hilo la tohara kwa wanaume wilayani humo huku akisema kuwa elimu kwa wananchi tatumika kwa asilimi kubwa kuwashawishi ili waelewe madhara ya kukaa bila kufanya tohara

No comments:

Post a Comment