Thursday, December 23, 2010

MAISAHA YANABADILIKA KAMA WEWE UKITAKA


 Mhasibu wa kampuni ya HASS mjini Musoma Mbaga Mgendi akimsihi dereva wa pikipiki juu ya ubebaji wa watoto kama picha ya chini inavyoonekana
                Msisitizo unaendelea wakati akiingia kwenye gari
Ubebaji wa namna hii unaweza kuhatarisha maisha ya watoto hawa hata na mwendesha pikipiki pia lakini nashindwa kuelewa binadamu hawaelewi au ni mazoea?

No comments:

Post a Comment