Mkurugenzi wa kampuni ya VML Marwa Shirati akiongea na Victoria Fm asubuhi katika kipindi cha Big Breakfast,alitoa maelezo mengi kuhusu kampuni ya VML GLOBAL TANZANIA LTD
Hiki ni kiatu ambacho kinazalishwa na VML
Hii ni kampuni ya kizalendo ambayo imejidhatiti kuwasaidia wajasiriamali ili nao wawe katika kiwango kizuri cha maisha,kwasasa mkurugenzi wa kampuni hiyo yupo Musoma na kama mdau utahitaji maelezo zaidi kuhusu kampuni hiyo wasiliana nami nitakwambia wapi anapatikana au tembelea www.vmlglobal.coml/www.visionsaccos.com
No comments:
Post a Comment