Monday, December 6, 2010

HAYA NDIO MAJEMBE YA VICTORIA FM YA MJINI MUSOMA

      Huyu anafahamika wa jina la Mwana wa Afrika (mmiliki wa blog hii) lakini jina lake la kiserikali anaitwa Augustine Mgendi anahost kipindi cha Big Breakfast kila jumatatu mpaka jumamosi kazi kwenu mwaka 2011, kaeni mkao wa kulaaaaaaaa
     Jamaa anaitwa John Mponeja(Mhariri mkuu wa Victoria Fm) anahost kipindi cha ladha kamili mangoma ya kutosha kutoka ndani na nje,vp mwaka 2011 Mponeja?
        Anaitwa Pascal Michael ukipenda anaitwa mchungaji ndiye mratibu wa vipindi Victoria Fm na pia anaendesha kipindi cha dini kila jumapili,Mzee vp mwaka 2011?
        Kwa Nyuma aitwa Sefroza Joseph(Wa ukweli)  yupo katika kipindi cha Extra Vaganza show kila jumatatu mpaka ijumaa vp mwaka 2011 Self. Huyo hapo mbele anaitwa Beatrice Mwita binti anachipukia katika fani hii karibu sana
         Mariam mghabo katika mambo ya pwani siku ya jumapili hapo vp ?
     Anaitwa Makiwa Jumanne pia ni mtangazaji wa VFM katika kipindi cha Big Breakfast
      Dj Young Lima katika pozi yumo ndani ya VFM anapatikana katika vipindi vya burudani zaidi na pia ni mshereheshaji katika harusi na sherehe mbalimbali anapatikana kwa namba 0713 411424 chonga naye sasa umpe dili
  Huyu ndiye Laza Mshale dreva wa VFM baada ya kuweka sawa sasa amekula pozi
  Happy Mohamed katika pozi yumo ndani ya VFM muandaaji wa habari na mambo mengine ya maisha zaidi
 Anaitwa Ester wa Kheri kama unataka kuongea mpaka ukauke mtafute huyu,ni mtangazaji wa vipindi maalum ndani ya VFM. Kaaaaaa sawa upate mambo
 Anaitwa Emanuel Chibasa ni mtangazaji wa VFM na pia yupo katika idara ya masoko
                                                    Cares one (tingisha) akiwa katika pozi
                                                                      POZI
                              aNAITWA nEEMA  pAuLO YuPo VFM

No comments:

Post a Comment