Monday, December 6, 2010

CHADEMA WAUNGURUMA MUSOMA JANA

 Mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vincent Nyerere akihutubia umati wa watu uliojitokeza jana katika mkutano wake wa kwanza tangu achaguliwe katika uchaguzi mkuu oktoba 31 mwaka huu kuwa mbunge wa jimbo hilo
 Meya wa manispaa ya Musoma Alex Kisurura wa pili kulia akiwa na naibu Meya Angela Lima kulia katika mkutano huo jana,kulia kwa Meya ni mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Musoma mjini Charles Kayere.
 Umati wa watu waliokuwepo jana katika mkutano wa kwanza wa Chadema tangu watwae madaraka katika jimbo la Musoma mjini.

No comments:

Post a Comment