Wednesday, November 10, 2010

KWANINI WATANZANIA TUNAPENDA MISAADA?

Jamani Watanzania hii kitu si utani,eti ni kwanini watanzania wengi tunapenda misaada?je ni ufinyu wa elimu?nchi yetu maskini?ndio utamaduni wetu tuliorithi kutoka kwa mababu zetu? au sisi ni wavivu wa kufikiri katika kutafuta? kama unaweza nicheki katika namba hizo na majibu yako nitayafanyia kazi. Gonga mdau

No comments:

Post a Comment