Friday, November 19, 2010

KWA ELIMU HII TUTAFIKA? JE MAKAZI HAYA YAKO POA?

                            Tunahitaji kuwa na watu waliopata elimu nzuri katika mazingira mazuri ili waweze kupambana na maisha je kwa mtindo huu tutafika? picha kwa msaada wa Nyanjap blogspot
        Ni Tanzania wala si nchi nyingine ndani ya Afrika,maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana kila mtu atimize wajibu wake

No comments:

Post a Comment