Friday, November 19, 2010

MAISHA YA WATANZANIA YAPO MIKONONI MWA HAWA VIONGOZI

  Rais Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dk Bilali,waziri mkuu Mizengo Pinda,Rais mstaafu All Hassan Mwinyi,waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye,Mbunge wa Monduli Edward Lowasa na Waziri mkuu mstaafu John Samweli Malecela
                                            Viongozi wetu wakiwa katika picha ya pamoja
      Wabunge wa Chama cha Deomkrasia na Maendelo CHADEMA wakitoka nje ya ukumbi wa bunge baada ya mh Rais Kikwete kuanya kuhutubia bunge la kumi hapo jana,sababu hawamtambui kama Rais.Aliyevaa suti ya kaki mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vincent Nyerere
 Waziri mkuu Mizengo Pinda akihapa mbele ya Rais Kikwete hapo jana katika Ikulu ndogo Chamwino Dodoma

No comments:

Post a Comment