Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM Jakaya Kikwete leo majira ya saa nane mchana atakuwa katika uwanja wa shule ya msingi Mukendo akihitubia wananchi wa manispaa ya Musoma katika kunadi sera za Chama hicho.
kikwete
CCM
No comments:
Post a Comment