Thursday, September 23, 2010

JAMANI KUNA SEHEMU WANAKOSA WATU KAMA HAWA

Katika mataifa yaliyoendelea na yanayoendelea siasa ndio msingi wa kila kitu katika nchi huska,kwani watu waliopo kwenye siasa ndio wapangaji wa kila kitu na anapotokea mtu mwenye dhamira ya kuongoza watu fulani yatupasa kumuunga mkono kama kweli ana dhamira ya dhati kama huyo Alphonce Magori kijana msomi.
                                    Alphonce Magori

No comments:

Post a Comment