Wantazania mambo vipi leo nimeona ni vyema sana nikakuonyesha japo kwa uchache chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Royal kilichopo jiji ni Dar es Salaam maeneo ya urafiki,ni chuo ambacho naweza kusema ni bora kwa vyuo vya habari Tanzania.Nitakuletea japo kwa uchache orodha ya waandishi na watangazaji waliosoma hapo baadayeeeeeeeeeeeeeee upo
Hawa ni miongoni mwa wanafunzi katika chuo hicho kutoka kulia ni Rachael na Fredy wakiwa katika pozi
No comments:
Post a Comment