AJALI YA BODA BODA ASUBUHI HII MJINI DODOMA
Boda boda yenye namba za usajili T
622 BVF ikiwa imepata ajali eneo la mkuu wa wilaya mjini Dodoma
baada ya kutaka kulipita gari kushoto
Hili ndilo gari lililogongwa na boda boda asubuhi ya leo mjini Dodoma
Askari wa usalama barabarani
wakifika eneo la tukio na kushoto ni vijana wanaofanya kazi ya
kukamata madereva ambao wanasababisha ajali za kizembe
Hakuna aliyejeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea mida ya saa 2.45 asubuhi ya leo
No comments:
Post a Comment