Wednesday, August 15, 2012

Rais Jakaya Kikwete Azindua Awamu Ya Tatu Ya TASAF 

  Dr. Jakaya Kikwete akipewa maelzo ya zulia katika mabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskinizilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.

Dr. Jakaya Kikwete akikagua mabanda ya TASAF, akiongozana na spika wa bunge la Tanzania,Mama Anne Makinda,katika uzinduzi
wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.Kwa Picha zaidi Moja kwa Moja Kutoka Dodoma

No comments:

Post a Comment