FELISTA MSOKA AAPISHWA RASMI KUWA WAKILI WA KUJITEGEMEA NA JAJI MKUU OTHMAN CHANDE.
Wakili Felista Msoka
aliapishwa tarehe 6/07/2012 na Jaji Mkuu Othman Chande pamoja na mawakili
wengine 286 akiwemo na Waziri wa sheria na Katiba Mh. Mathias Chikawe na kufanya
idadi ya mawakili nchini kufikia 2602.
Mtandao huu unapenda
kumpongeza kwa mafanikio hayo.
Wakili Felista Msoka akiwa na
Mawakili wenzake siku ambayo aliapishwa kuwa Wakili wa kujitegemea.
Wakili Felista Msoka akiwa na
pacha wake wa kuzaliwa ambaye pia ni Wakili Bi. Yusta Msoka, kwa pamoja wakiwa
na furaha kwa kuwa Mawakili.




No comments:
Post a Comment