MGOMO WA WALIMU WAENDELEA MKOANI MARA
Wanafunzi waandamana kwenda kwa RC askari Polisi waingilia kati
Askari Polisi katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara wakiwa wamewatuliza Wanafunzi wa sekondari waliokuwa wameandamana kwenda kwa mkuu wa Mkoa wa Mara kuwaeleza juu ya athari wazipatazo kutokana na Mgomo wa Walimu
No comments:
Post a Comment