PICHA NANE ZA KUTAFUTA SULUHU YA MAPIGANO TARIME
Mvua yanyesha lakini Mkuu wa mkoa wa Mara asema mpaka kieleweke
Mkuu wa wilaya ya Tarime (Kushoto) mkuu wa Mkoa wa Mara(katikati),mwenyekiti wa halamshauri ya Tarime na mkurugenzi wa halmashauri hiyo wakiwa katika meza kuu kutafuta suluhu ya mapigano huko Tarime hivi karibuni
Wananchi wakitoa dukuduku zao
Umati ulikuwepo wa kutosha katika suluhu hiyo
Mvua ilianza kunyesha katika eneo hilo ambalo linaardhi nzuri ya kilimo
Hakuna kuondoka mkuu wa mkoa akiwa kati huku mvua ikiendelea kunyesha
Usalama ulikuwepo wa kutosha
No comments:
Post a Comment