Hii ni moja ya Guest inayopatikana katika kijiji cha Kogaja wilayani Rorya
Simba wa vita popote anafika
Hizi ni ofisi za mapato huko Kogaja
Hiyo nyumba inayoonekana inasemekana ndiyo kielelezo cha mpaka wa Tanzania na Kenya
Mikakati ya kuanza kuwa kuwafahamisha wananchi juu ya mkutano
Shule ya msingi Kogaja
Udereva huu wa Timba si mzuri hata kidogo,acha simu akili na mawazo yote katika usukani
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhh Kipara,aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhh Timba
Mdau ambaye nilikutana nae Kogaja ambaye alisema kuwa yeye ni msikilizaji mzuri sana wa VFM lakini pia hapo alikuwa akinionyesha masafa ya redio mbalimbali za kenya
Jamaa anasema kuwa ni msikilizaji wangu mzuri sana kwenye kipindi hasa cha Pasua kichwa,BBF na Nyumbani Afrika kila jumapili saa kumi na moja mpaka saa moja za jioni
yote tisa kumi ni hapo nilipokutana na mzee mmoja akitumia fedha za kenya eneo hilo ambapo alisema kuwa zinatumika bila matatizo
Nilidhani katika karne hii ya sayansi na teknolojia hakuna saloon hizi kumbe Kogaja zipo
MTAZAMAJI WA BLOG YA MWANA WA AFRIKA NITAENDELEA KUKULETEA PICHA NA HABARI MBALIMBALI ZA MKUTANO HUO
No comments:
Post a Comment