Mahojiano yakiendelea katika eneo la Butiama kwa Baba wa Taifa
Mjengo wa Mwalimu Nyerere ambao alijengewa na Tanu baada ya Kustaafu urais
Hapa ndipo mwalimu Nyerere alipolazwa
Hiki ni kiti ambacho mzee alikuwa akiingia kusoma vitabu anapumzika
Kila mtu na Pozi lake
maelekezo yanaendelea ndani ya jumba la kumbukumbu za baba wa taifa
Hili pozi au kuna maelekezo amnapata?
Nilikuwa makini sana maana napenda sana fikra za mwalimu
No comments:
Post a Comment