Kikao cha bodi ya barabara mkoani Mara kimefanyika leo chini ya uenyekiti wa mkuu wa mkoa wa Mara Mh John Tupa ambapo amehimiza wakugurugenzi wa halmashauri mbalimbali mkoani Mara kusimamia sheria zilizowekwa. Mbali na hivyo pia wakurugenzi kutoka Halmshauri zote walisoma Taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya barabara
No comments:
Post a Comment