Jeshi la Polisi mkoani Mara limesema kuwa elimu katika leseni mpya bado muhimu hivyo wananchi wanapaswa kuendelea kutii sheria bila shuruti hasan katika suala zima la kwenda kusoma kabla ya kupata leseni.
Hayo yamesemwa leo asubuhi katika kipindi cha BIG BREAFAST ambapo mwezeshaji kutoka jeshi la Polisi mkoani Mara Koplo Shabani amesema ni muhimu kwa kila raia anaetakuwa kuwa Dreva kufuata taratibu za kupata leseni hizo
Koplo Shabani kutoka Jeshi la Polisi mkoani Mara akitoa ufafanuzi leo juu ya Leseni mpya
Ni moja ya kipindi ambacho kinahitaji umakini wa hali ya juu hasa unapogundua kuwa mambo mnayoongelea yanagusa maisha ya watu moja kwa moja,ajali zinaua tuwe makini
No comments:
Post a Comment