Thursday, August 11, 2011

MH MBILINYI ATOA MAPENDEKEZO YA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI


Waziri kivuli wa wizara ya habari,vijana,utamaduni na michezo Joseph Mbilinyi ambaye pia ni mbunge jimbo la Mbeya mjini akitoa mapendekezo ya wizara hiyo muda huu Bungeni mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment