Mdau, waziri wa habari,michezo na utamaduni Dr Emanuel Nchimbi muda yupo mbele ya bunge akiwasilisha makadirio na matumizi ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2011/2012
Waziri ameomba bunge liidhinishe zaidi ya shilindi bilioni 14 kwa mwaka wa fedha 2011/2012
No comments:
Post a Comment