Friday, August 12, 2011

RICHARD MASATU AMEZIKWA LEO JIONI MJINI MUSOMA

Aliyekuwa mkurugenzi wa gazeti la Kasi mpya la jijini Mwanza Richard Masatu amezikwa leo jioni mjini Musoma katika makaburi ya Mwisenge mkoani Mara,Richard alizaliwa mwaka 1972 katika kijiji cha Nyambono Musoma Mkoani Mara ambapo pia amewahi kujihusisha na masuala ya kisiasa ambapo mwaka 2005 na 2010 aliwahi kugombea udiwani katika kata ya Mbugani jimbo la Nyamagani jijini Mwanza.

  Mungu aipumzishe roho ya Richard Masatu mahali pema peponi,Amin

Picha na G sengo

No comments:

Post a Comment