Thursday, July 14, 2011

MGOSI, BANKA NA YONDANI WATIMULIWA SIMBA

SIMBA imewtema nyota wake Musa Mgosi, Miohammed banka na Kelvin Yondani, Imefahamika.

                               mgosi
Maamuzii hayo yalitolewa jana na kamati ya utendaji ya Simba iliyoketi kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kufanya kawake vibaya katyika komnbew la kagame.

 
Banka

Wachezaji hao wanadaiwa kuihujumu timu hiyo na hivyo kuchangia ishindwe kutwaa ubingwa huo ulkikwenda kwa Yanga.

Pasmoja na kuwatema huko imepanga kuwapeleka kwa mkopo katika klabu yoyote na iwapo itashindikana watawalipa stahiki zao

No comments:

Post a Comment