Thursday, July 14, 2011

SUDAN KUSINI KUTOA PESA YAKE

SERIKALI YA JAMHURI YA SUAN KUSINI HIVI KARIBUNI ITATOA RASMI SARAFU MPYA HAPO JULAI 18 MWAKA HUU

HABARI ZINASEMA KUWA SARAFU HIYO IITWAYO PAUNDI YA SUDAN KUSINI ILICHAPISHWA NA KAMPUNI MOJA YA UINGEREZA NA KUWASILISHWA KWENYE BENKI YA NCHI HIYO JULAI 13  MWAKA HUU.

SARAFU HIYO ITATOLEWA RASMIi JUALI 18 MWAKA HUU KATIKA MAJIMBO 18 YA NCHI HIYO,JUALI 9 MWAKA HUU SUDAN KUSINI ILIPA FURSA YA KUJITENGA  NA SUDAN KASKAZIN NA HIVYO KUWA NCHI HURU HUKU IKIONGEZA IDADI YA NCHI 54 BARANI AFRIKA.

No comments:

Post a Comment