Wednesday, July 13, 2011

HONGERA KIJANA



Kijana huyu nimemwacha chuo(ROYAL COLLEGE  OF TANZANIA) akiwa mwaka wa mwisho katika masomo ya habari na leo hii ameingia katika ukurasa mpya wa maisha,hakika Mungu awabariki katika maisha hayo mapya

No comments:

Post a Comment