Nimeshindwa kuweka habari na mambo mengine kwa wakati katika blog hii kutokana na matatizo ya hapa na pale mdau kitu amabcho naamini hukufurai hata kidogo lakini katika hilo naomba radhi na nkuanzia sasa habari mbalimbali kutoka Mkoa wa Mara na sehemu zingine zitakuwepo kama kawaida na kwa wakati.
Si kwamba nawaza bali ni mikakati mipya na jinsi ya kupambana na maadui
Mgendi, ni sisi tunaotakiwa na kuajibika kukupa pole au kukufariji au kuwa nawe hata wakati wa shida.
ReplyDeleteKwa kifupi Wananchi wengi huwa hatuwajali wana-habari jambo ambalo ni hatari sana kwa jamii yeyote inayotaka kuendelea.
Ubarikiwe sana katika kazi ya kutuhabarisha.