Viongozi wa vyama vya siasa vya CUF na APPT Maendeleo wakiwa jukwaani kumwaga sera zao kwa wananchi wa kiabakari katika eneo la madaraka juu ya makao makuu ya wilaya mpya ya Butiama
Hapa ndipo palikuwa makao makuu ya CCM kwa halmashauri ya musoma lakini matokeo yake halmashauri hiyo ilijengwa mjini musoma
Wananchi wakiwa wamejitokeza katika mkutano huo kusikiliza sera za CUF NA APPT Maendeleo
No comments:
Post a Comment