NILIPATA NAFASI YA KUTEMBELEA CHUO CHA MUSOMA UTALII NA KUONANAN NA WANAFUNZI WA MASUALA YA HABARI
Nilipata nafasi ya kutembelea chuo cha Musoma Utalii mjini Musoma nikiwa na Shomari Binda ambapo tuliongea maswali mbalimbali nanayohusiana na tasini ya habari lakini pia tuliweza kutazama changamoto zilizopo katika sekta ya habari hapa nchini
No comments:
Post a Comment