Kundi la muziki wa Taarabu la FIVE STAR limepata ajali leo katika eneo la mbunga ya mikumi mkoani Morogroro ambapo taarifa zinasema zaidi ya wanamuziki 10 wa bendi hiyo wamefariki akiwemo kiondozi wa kundi hilo Issa Kijoti.
Taarifa zinasema wanamuziki hao walikuwa wanatoka Songea wakielekea Dar es Salaam wakiwa katika basi la Coaster,poleni sana wana familia kwa pamoja Mwana wa Afrika napenda kuwapeni pole nyote.
No comments:
Post a Comment