Sunday, August 22, 2010

NYOTA WA SOKA ANAYEKUJA TANZANIA

Kijana anaitwa Kalebu  ukipenda mwiite Barbatov ni mpwa wangu ambaye natumaini one day atakuja kuwa bonge la staa katika soka maana waswahili wanasema nyota njema uonekana asubuhi na mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

No comments:

Post a Comment