Sunday, March 15, 2015

Maadhimisho ya 27 ya wiki ya Maji kuanza March 16 hadi 22 Mkoani MaraMaadhimisho ya  27  ya wiki ya Maji kitaifa yanatarajia kufanyika mkoani Mara kuanzia March 16 hadi March 22  mwaka 2015,ambapo serikali ya mkoa huo imesema upatikanaji wa Maji kwa sasa vijijini  ni aslimia 44.3 huku Mjini ikiwa ni asilimia 53.5

Mkuu wa mkoa wa Mara kapteni Mstaafu ASSERI MSANGI amesema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari mkoani hapa ambapo amesema mradi mkubwa wa Maji unaojengwa hapa Manispaa ya Musoma ukikamilika upatikanaji wa Maji utakuwa kwa silimia mia moja.

No comments:

Post a Comment