Wednesday, June 11, 2014

VAZI ALILOVAA MBUNGE KANGI LUGOLA BUNGENI LEO LAGEUKA KITUO, SPIKA AMUAMURU ALIVUE MARA MOJA

 Mbunge wa Mwibara Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014.
Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva    wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment