Thursday, June 19, 2014

Shomari Binda aachana na ukapera,Mungu akubaliki sana


 MJOMBA ALIANZA MAPEMA
   
KEKI ILIKUWA TAMU SANA
MUHIMU KUMLISHA MAMA MKWE
      
ASANTE MAMA
MADOGO WALIWAKILISHA VYEMA
ASANTE SANA MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MUSOMA ALEX KISURURA KWA KUSHIRIKI KATIKA SHEREHE HII
WANAKAMTI WACHECHE WALIOFANIKISHA KITU KIZURI
FULL MSOSI
KULA USIOGOPE!
BURUDANI KIDOGO JAMANI
WEKA NENO LAKO KWENYE COMENT
SHUGHULI ILIANZIA KWENDA KUPAKA HINNA MWENGA
ASHA SHOMARI AKIMTOA MWENGA KUPAKWA HINNA!
KUJIACHIA
ZITAENDELEA.........
 KABLA ILIFUNGWA NDOA KWANZA!.

Source:  http://www.shommibinda.blogspot.com

No comments:

Post a Comment