Thursday, May 29, 2014

Uzinduzi wa wiki ya Maziwa kitaifa mkoani Mara,

Mfugaji aliyenufaika na Mradi wa HEIFER INTERNATIONAL TANZANIA  akitoa ufafanuzi kwa mgeni rasmi Bw Jackson Msome
Mahojiano kuhusu Heifer International yakiendelea
                               Bw Emanuel Sokombi -Meneja Mradi katika Mahojiano

MKURUGENZI WA HEIFER HENRY NJAKOI AKIWA KATIKA BANDA LA MFANO WA UFUGAJI WA KISASA
KATIBU TAWALA WA MKOA WA MARA BENEDICT OLE KUYAN AKIGAWA MAZIWA KWA WAGONJWA NA WAUGUZI KATIKA WODI YA WATOTO HOSPITALI YA MKOA WA MARA IKIWA NI MOJA YA SHUGHULI ZA WIKI YA MAZIWA
WANAFUNZI WAKINYWA MAZIWA KWENYE MAAZIMISHO HAYO
DC MSOME AKIWA KATIKA BANDA LA BARAKI SISTERS FARM WANAOSHUGHULIKIA NA UFUGAJI WILAYANI RORYA
HAPA DC ANAGAWA MAZIWA KWA WAGONJWA
 MEYA KISURURA PIA ALISHIRIKI KATIKA UGAWAJI MAZIWA
Mwenyekiti wa bodi ya Maziwa nchini Prof Lusato Kurwijila kulia akiteta jambo na Shekdad

No comments:

Post a Comment