Wednesday, November 20, 2013

AJALI YA BODA BODA ASUBUHI HII MJINI DODOMA


Boda  boda  yenye namba za usajili T 622 BVF ikiwa  imepata ajali  eneo la mkuu  wa wilaya   mjini Dodoma baada ya  kutaka  kulipita  gari kushoto
 Hili  ndilo  gari  lililogongwa na boda  boda asubuhi ya leo mjini Dodoma
 Askari  wa  usalama  barabarani  wakifika  eneo la tukio  na  kushoto ni  vijana  wanaofanya kazi  ya kukamata  madereva  ambao  wanasababisha  ajali za kizembe
Hakuna  aliyejeruhiwa  katika ajali  hiyo iliyotokea  mida ya saa 2.45 asubuhi ya  leo

No comments:

Post a Comment