Kibao kinachoonesha taasisi ya Marehemu Kulola iliyopo katika nyumba yake.
Askofu Moses Kulola alifariki na kuzikwa Jumatano iliyopita jijini Mwanza. Lakini alikuwa na makazi Chanika nje kidogo ya jiji la Dar. Mwandishi wetu alifika na kukuta makazi hayo ambayo ni ya kawaida sana na kuonekana ni tofauti na maaskofu au wachungaji wengine wanaopenda vitu vya kifahari.
No comments:
Post a Comment