Timu ya Taifa ya Brazil usiku wa saa 8 kuelekea sas 9 kwa saa za Afrika
Mashariki waliweza kuwafunga Mabingwa wa Dunia na Mabigwa wa Ulaya timu
ya Taifa ya Spain jumla ya Magoli 3-0 katika mchezo wa fainali ya kombe
la Mabara na hivyo kuitimisha rekodi ya Spain ya kutofungwa mara 29
katika michezo ya ushindani,waliopeleka kilio cha Magoli kunako timu ya
Spain walikuwa ni Fred aliefunga Magoli mawili huku lingine likitiwa
nyavuni na Mchezaji anaekuja juu kwa sasa Neymar.
|
No comments:
Post a Comment