Sunday, July 28, 2013

KAMPUNI YA SINGITA GRUMETI RESERVES WILAYANI SERENGETI YAKABIDHI MADAWATI NA VITABU

 MKURUGENZI WA UTALII KAMPUNI YA SINGITA GRUMETI RESERVES JASON TROLLIP BAADA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WALIMU NA VIONGOZI WA KIJIJI CHA NATTA BAADA YA KUKABIDHI MADAWATI 30,MEZA 1,KITI KIMOJA NA VITABU VYA SAYANSI 241 KWA SHULEYA MSINGI MLIMANI NA SEKONDARI ZA ISSENYE NA RIGICHA WILAYANI SERENGETI
 WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MLIMANI KATA YA NATTA WILAYANI SERENGETI WAKIWA WAMEKALIA MADAWATI WALIYOPEWA NA KAMPUNI YA SINGITA GRUMETI RESERVES INAYOMILIKI HOTEL YA SASAKWA YA NYOTA TANO
WANAFUTINZI WA SHULE YA MSINGI MLIMANI WILAYANI SERENGE

No comments:

Post a Comment