Friday, June 14, 2013

WATUMISHI WA SEKTA YA AFYA KUFUKUZWA ENDAPO WATABAINIKA KUUZA DAMU

 Nikipeana Mkono na Mkuu wa Mkoa wa Mara baada ya kupokea Cheti kwa niaba ya African Media Group (Channel ten) kutoka wizara ya Afya na ustawi wa Jamii katika Utoaji Bora wa huduma kwa jamii
Mwakilishi wa TBC Mara Emanuel Amas naye akiwakisha TBC

       Mama ye
   Maandamano yalianza vyema
 Ukaguzi wa Mabanda ukiendelea
  Naibu wa Waziri Dr Seif akizinfua program ya ujumbe mfupi wa Maneno kwa mchangiaji damu kwa atakayekuwa anatumia tigo tu

      Wauguzi hawakuwa nyuma
                Viongozi mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo
   Bw Joseph Mtalemwa -Menaja wa Tigo kanda ya Ziwa
 Naibu waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr Seif Rashid kushoto
 Jamaa kachangia damu mara 24 hivyo kapata cheti
Mmoja wa mashuhuda katika msaada wa damu Bw Bigambo Jeje

No comments:

Post a Comment