![Hostaz wakiwa anamswalia Marehemu Kashi leo Kinondoni Muslim](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Hostaz-wakiwa-anamswalia-Marehemu-Kashi-leo-Kinondoni-Muslim.jpg)
Ustaadh akiwa anamswalia Marehemu Kashi leo Kinondoni Muslim
![IMG_4436](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/IMG_4436.jpg)
![IMG_4438](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/IMG_4438.jpg)
![IMG_4442](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/IMG_4442.jpg)
![IMG_4463](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/IMG_4463.jpg)
![IMG_4464](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/IMG_4464.jpg)
![Jacqueline wolper akiwa amekaa na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Jacqueline-wolper-akiwa-amekaa-na-msanii-mwenzake-nyumbani-kwa-marehemu-Kashi.jpg)
Jacqueline Wolper akiwa amekaa na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi
![Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Kaburi-la-marehemu-Kashi-leo-kabla-ya-mazishi.jpg)
Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi
![Kitale na wasanii wenzake](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Kitale-na-wasanii-wenzake.jpg)
Kitale na wasanii wenzake
![Msanii wa bongomovie Big](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Msanii-wa-bongomovie-Big.jpg)
Msanii wa bongo movie Big
![Msanii wa movie akilia kwa uchungu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Msanii-wa-movie-akilia-kwa-uchungu.jpg)
Msanii wa movie akilia kwa uchungu
![Msanii wa Movie Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Msanii-wa-Movie-Claud-akibadilishana-mawazo-na-wasanii-wenzake-leo-nyumbali-kwa-marehemu-Kashi-kabla-ya-mazishi..jpg)
Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi
![Msanii wa movie Monalisa akisalimiana na wasanii wenzake leo nyumbani kwa marehemu Kashi.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Msanii-wa-movie-Monalisa-akisalimiana-na-wasanii-wenzake-leo-nyumbani-kwa-marehemu-Kashi..jpg)
Msanii wa movie Monalisa akisalimiana na wasanii wenzake leo nyumbani kwa marehemu Kashi.
![Msanii wa movie Mustaph the best akiwa na menager wake.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Msanii-wa-movie-Mustaph-the-best-akiwa-na-menager-wake..jpg)
Msanii wa movie Mustaph the best akiwa na manager wake.
![Mwigizaji wa Tamdhiria ya ITV akisaini kitabu cha mchango wa mazishi leo.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Mwigizaji-wa-Tamdhiria-ya-ITV-akisaini-kitabu-cha-mchango-wa-mazishi-leo..jpg)
Mwigizaji wa TamdhiLia ya ITV akisaini kitabu cha mchango wa mazishi leo.
![Mwili wa marehemu Kashi baada ya kuwasili makaburini Kinondoni Muslim](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Mwili-wa-marehemu-Kashi-baada-ya-kuwasili-makaburini-Kinondoni-Muslim.jpg)
Mwili wa marehemu Kashi baada ya kuwasili makaburini Kinondoni Muslim
![Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Mwili-wa-marehemu-Kashi-tayari-umelazwa-kaburini-na-wadau-wanamwifadhi-kwa-kufukia..jpg)
Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia
![Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Mwili-wa-marehemu-Kashi-unapelekwa-makaburini-kinondoni-Muslim-kwa-mazishi.jpg)
Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishi
![Mzee Chilo akijadili jambo na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Mzee-Chilo-akijadili-jambo-na-msanii-mwenzake-nyumbani-kwa-marehemu-Kashi..jpg)
Mzee Chilo akijadili jambo na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi
![Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Rais-wa-Shirikisho-la-Filamu-Tanzania-TAFFSimon-Mwakifwamba.jpg)
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba
![Shughuli ya mazishi inaendelea](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Shughuli-ya-mazishi-inaendelea.jpg)
Shughuli ya mazishi inaendelea
![Wa,mama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Wamama-na-wasanii-wa-movies-wakiwa-wanatafakari-jambo..jpg)
Wamama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.
![Wadau mbalimbali wakimwifadhi Kashi leo.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Wadau-mbalimbali-wakimwifadhi-Kashi-leo..jpg)
Wadau mbalimbali wakimwifadhi Kashi leo
![Wadau mbambali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Wadau-mbambali-na-wasanii-wa-movie-wakiusindikiza-mwili-wa-marehemu-Kashi-makaburi-Kinondoni-Muslim.jpg)
Wadau mbalimbali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim
![Wasanii wa movie Tanzania kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Wasanii-wa-movie-Tanzania-kutoka-kulia-Mzee-MagariMzee-Chilo-na-wenzake-akiteta-jambo.jpg)
Wasanii wa movie Tanzania kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo
![Wasanii wa movie wakijadili jambo nyumbani kwa marehemu Kashi.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/06/Wasanii-wa-movie-wakijadili-jambo-nyumbani-kwa-marehemu-Kashi..jpg)
Wasanii wa movie wakijadili jambo nyumbani kwa marehemu Kashi
No comments:
Post a Comment