Wednesday, June 19, 2013

MWANDISHI WA HABARI WA CHANNEL TEN CHARLES HILILA AFARIKI DUNIA

Marehemu Charles Hilila wa pili kutoka kushoto akiwa na wanahabari mwezi February mwaka huu mkoani Mtwara katika mkutano wa Bima ya Afya

c
Aliyekuwa Mwandishi wa habari wa Kituo cha Channel ten Bw.Charles Hilila amefariki dunia  saa saba usiku katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya homa ya Malaria iliyokuwa ikimsumbua kwa muda wa siku chache zilizopita...MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU CHARLES HILILA ,AMENI     

No comments:

Post a Comment